BBC News, Swahili - Habari
Habari kuu
Moja kwa moja, Meli ya kivita ya Urusi yawasili katika bandari ya Eritrea
Katika ziara isiyo ya kawaida meli ya kivita ya jeshi la wanamaji la Urusi imewasili katika bandari kuu ya Bahari Ya Shamu ya Massawa nchini Eritrea
Umoja wa Mataifa: Njaa huko Gaza inaweza kuwa uhalifu wa kivita
Israel imepuuza azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linalotaka kusitishwa mara moja kwa mapigano.
Kimbunga hatari chakumba kaskazini mwa Madagascar
Taarifa zinasema kwamba “mafuriko yalisababisha uharibifu mkubwa” huku barabara na madaraja yakiporomoka.
Changomoto za kuishi kama mpenzi wa jinsi moja katika nchi ya Kiislamu
"Naunga mkono mswada huo lakini kama ningekuwa na familia, pengine ningehama na kuishi mahali pengine," Alif, mpenzi wa jinsi moja kutoka jiji la Yala kusini mwa Thailand anasema.
Jenerali Ben Godges: Kwanini viwanda vya mafuta vya Urusi vinalengwa na wanajeshi wa Ukraine
Ben Godges ni mmoja wa askari maarufu wa Marekani. Hii ni kwa sababu hapo awali jenerali huyu aliongoza Jeshi la Marekani huko Ulaya.
Wapiga mbizi wapata miili ya waathirika wa daraja lililoporomoka Marekani
Shughuli ya utafutaji wa watu wengine wanne inaendelea wasiojulikana walipo baada ya miili miwili kupatikana kwenye lori lililotumbukia majini.
Haiti: Bunduki kutoka Marekani zafurika Port-au-Prince na kuchochea ongezeko la ghasia
Wizara ya Mambo ya Nje ilionesha kuwa ina mipango ya kusaidia kuanzisha kitengo kipya cha polisi nchini Haiti kushughulikia silaha zinazosafirishwa nchini humo.
Tetesi za soka Ulaya Alhamisi 28.03.2024
Arsenal inamsaka mshambuliaji mpya katika orodha ya wachezaji 10
Kwa nini Islamic State inaichukulia Urusi kama adui
Saa chache baada ya shambulio la silaha dhidi ya ukumbi wa tamasha kaskazini mwa Moscow Ijumaa iliyopita, kundi la Islamic State (IS) lilidai kuhusika na shambulio hilo kwenye akaunti yake ya Telegram.
Jeshi la Israeli linajumuisha akina nani na ni jamii gani nyingine zinazohudumu katika jeshi hilo?
Leo, jeshi la Israeli linashikilia nafasi ya 17 kwenye orodha ya majeshi yenye nguvu zaidi duniani, kulingana na takwimu kutoka kwa tovuti ya Marekani ya "Global Firepower".
Je, Iran imepoteza udhibiti wa makundi yanayoitii Mashariki ya Kati?
Kulikuwa na mivutano mingi iliyokumba Iraq, Yemen, Syria na Lebanon kwa muda wa miezi kadhaa kufuatia mashambulizi ya Oktoba 7 iliyopita yaliyofanywa na Hamas dhidi ya Israel na vita vilivyofuata katika Ukanda wa Gaza.
Dawa ya Pregabalin: Ni nini na kwa nini inaweza kuwa hatari?
Dawa ya pregabalin inahusishwa na vifo duniani kote.
Michezo
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani
Sikiza / Tazama
Gumzo mitandaoni
Je, huu ndio mwanzo wa mgogoro wa Marekani na Israel?
Rais wa Marekani Joe Biden na maafisa wake wakuu, wanaonekana sasa kukosa subira kwa jinsi Israel inavyoendesha vita huko Gaza.
Uchaguzi Afrika Kusini 2024: Utafanyika lini na je, ANC iko hatarini kupoteza?
Tarehe 29 Mei, karibu wapiga kura milioni 28 wa Afrika Kusini waliojiandikisha wana nafasi ya kuchagua wawakilishi katika mabunge ya kitaifa na majimbo.
Shambulio la Moscow: Tunabainisha ukweli kuhusu madai ya Urusi kuhusu shambulio hilo
Kupitia taarifa za maafisa wa Urusi, ripoti za vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, BBC Verify inachunguza jinsi kampeni ya kuilaumu Kyiv ilivyofanyika.
IS-K: Wanajihadi wa Islamic State waliohusika na shambulio la Moscow ni nani?
Maelezo zaidi yanaibuka kuhusu kundi la wanajihadi la IS-K ambalo limedai kuwa ndilo lililohusika na shambulio hilo.
Unafaa kufanya nini unapokutana na simba?
Shambulizi la simba wa mlimani hivi majuzi huko California limesababisha mwindaji mmoja kuuawa na mwingine kujeruhiwa vibaya
Walowezi wa Kiyahudi wanaotaka kujenga makazi huko Gaza
Baadhi ya vuguvugu la walowezi wamefurahia ndoto ya kurejea Gaza tangu mwaka 2005.
Vita Gaza: Geti 96, kivuko kipya ambapo misaada inatatizika kuingia
Wakati Umoja wa Mataifa unaishutumu Israel kwa kutatiza uingizwaji wa misaada kimakusudi, Israel imefungua lango namba 96
Jinsi Marekani 'ilivyoishangaza' Israel katika baraza la Usalama la UN
Licha ya mafanikio ya Marekani katika Mazungumzo haya ya kufifisha rasimu ya awali ya azimio hilo, mwishowe kuachiliwa kwa mateka na usitishaji vita viliunganishwa na kuwa kifungu kimoja, na azimio hilo pia halikulaani harakati ya Hamas baada ya mashambulizi ya Oktoba. 7.”
Mtoto aliyeishi bila kujua kuwa baba yake alikuwa muhalifu aliyetafutwa ulimwenguni
Mtoto huyo alikulia katika kivuli cha uhalifu mbaya zaidi wa karne ya 20.
Putin atachukua hatua gani baada ya shambulizi?
Urusi inaomboleza waathirika wa mauaji ya Crocus City Hall. Hakuna idadi ya mwisho ya vifo. Shughuli ya kutafuta miili inaendelea.
Je, uwezekano wa kupata mimba hupungua baada ya miaka 35?
Wakati wa kuzaliwa, wanawake huzaliwa na mayai yote ambayo watakuwa nayo. Ni idadi ya mayai karibu milioni mbili, lakini wakifika wakati wa kubalehe idadi ya mayai huwa ni 600,000 tu.
Ramadhan: Ni chakula kipi unachofaa kula na kipi cha kuepuka mwezi wa mfungo?
Kipindi cha kufunga kinazingatiwa mwezi mzima.
Tuyajenge
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 29 Machi 2024, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 28 Machi 2024, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 28 Machi 2024, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 28 Machi 2024, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki